Friday, September 7, 2012
Momba Profile
Jina Kamili : Ally Saidi Momba
Birthday : September 19
Birth Place : Kigamboni
Ni Mwanamuziki wa Kizazi kipya ambaye nimeanza shughuli ya Muziki kwa Muda mrefu na Ninafanya Vizuri kwa kuwa na Fan Base kubwa
Contact : Mombaofficial@gmail.com
Momba Feat. Ney Wa Mitego - Kabwela
Pia hii ni moja kati ya ngoma zangu ambazo zimefanya vizuri katika media Tanzania ambazo Audio nimefanya chini ya Mazuu Studios na Video chini ya Show biz Defined na eryne epidu
Momba -Misio Sharobaro.
Hii ni Video yangu ya NNE ambayo nimeifanya chini ya Video Production nzuri Tanzania inayoitwa Show biz defined ambayo ilikua ikiendeshwa na Eryne Epidu...Audio imetayarishwa na Studios za akhenatoh Producer Lil ghetto
Subscribe to:
Posts (Atom)